Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo

Friday, October 5, 2012

Tuzo za mchezaji bora wa Afrika mwaka 2012 majina 34 yametajwa huku zambia na ghana zikiongoza kwa kupeleka wachezaji zaidi ya mmoja kuwania tuzo hiyo.


Shirikisho la  mpira  wa miguu  baran afrika  CAF  limetangaza majina  ya wachezaji 34 watakao wania tuzo ya mchezaji bora  AFRIKA  wa mwaka  2012  ambapo kura  hizo zitapigwa  huko  nchin  Ghana  ifikapo mwezi wa 12  huku Zambia  na  ghana zikitoa wacheza zaidi ya mmoja kuwania tuzo  hiyo.

Emanueli Mayuka-Zambia nation team


Wachezaji  wa Zambia waliotajwa  kuwania tuzo  hiyo ni  emmanueli  mayuka,stopila sunzu, Christopher  katongo  na rainfortd   kalaba Na  kwa upande   wa Ghana wachezaji waliotajwa ni  Andre ayew  anayecheza  marseile  pamoja na  emmanueli  Agyeman badu  wa  udinese


Andre Ayew-Ghana nation team

Baadhi ya  Majina  mengine  ni mchezaji wa zamani wa chalsea  didie drogba  wa ivory  cost,emmanul  clottey  na haarrison  afful wote kutoka Ghana

Didier Drogba-Ivory cost

Nyota hao na wengine ndio wanaounda idadi ya wachezaji 34 ambapo idadi  hiyo itaendelea kupunguzwa katika siku zijazo   kabla ya kutangazwa kwa mshindi rasimi ifikapo tarehe  20-12-2012 huko Accra  Ghana.

Tuzo nyingine  zitakazo waniawa ni

1.Timu ya taifa  iliyofanya vizuri mwaka 2012

2.Mchezaji kike wa mwaka 2012

3.Timu ya taifa ya wanawake mwaka 2012

4 mwamuzi  wa mwaka 2012 

5.kocha wa mwaka 2012 

6.klabu i  ilionesha mchezo mzuri (Fair Play.)

7.Mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu. 

8.Klabu iliyofanya vizuri  mwaka 2012

9.Afrikani  finest  pamoja na

10.Plutinum Award


No comments:

Post a Comment