Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo

Wednesday, October 3, 2012

Tenga awataka mashabiki kuwa na utulivu.


Leodegar  Tenga

 Raisi wa shirikisho la mpra wa miguu nchin  Tanzania  amewataka  mashabiki wa klabu za Simba na Yanga kuwa watulivu  ilikuepusha uvunjifu wa amani katika mchezo utakaochezwa jumatano hii majira ya saa moja usiku.   Huku akizitaka  timu zote mbili kuonesha mchezo mzuri wenye kuvutia ilikuwapa raha mashabiki wao ndani na nje ya  Tanzania

Ninfuraha kubwa  kuwa sehemu ya  mchezo huu wenye ushindani mkubwa  katika bara hili la  Afrika  na ninatumain ya kwamba  mchezo huu utaitangaza  nchi yetu.  Simba na yanga ni timu zenye upinzani mkubwa  na zina washabiki katika kila kona ya Tanzania na wapenzi wa klabu hizi wanategemea  kuona  mpira mzuri, Amesema  Tenga.
Mchezo wa samba dhidi ya  Yanga unatarajiwa kuwa mkali na wakusisimua huku Yanga wakiwa na  deni la kurudisha  goli tano walizofungwa katika msimu wa mwaka jana.


Yanga wakiwa wanawaza   hivyo nayo klabu ya Simba yenyewe inawaza kuendeleza uteja wa kuwafungwa vijana hao wa jangwani.katika kuelekea mchezo huo samba itawakosa  wachezaji wake kina  Emmanueli Okwi,Emily Mafutah pamoja na haruna moshi bobani.

Emmanuel  Okwi.

 




No comments:

Post a Comment