 |
| JOSE MORINHO |
Mreno jose morinho
mara baada ya kushuudia timu yake ikiondoka uwanjani signal iduna park kwa
kichapo cha goli 2 -1 kocha huyo mwenye
maneno mengi amesema baadhi ya makundi
katika michuano ya ligi ya mabingwa barani ulaya kuwa ni makundi yasio
magumu(joke)
Morinho ambaye
yuko katika kundi linalosadikiwa kuwa ni kundi gumu kuliko yote likiwa na timu kama vile mabingwa wa ujerumni
Borussia Dortimundi,Ajax pamoja na timu ya manchester city ambao wameonekana
kuwa ndo vibonde wa kundi hilo amesema kwamba
“Hili ndo kundi gumu kuliko yote.kuna baadhi
yao si magumu kama vile kundi lenye timu ya BATE Borisov ya nchini Beralus”.
Akielezea nafasi ya
timu yake kusonga mbele katika kundi hilo morinho amesema bado kuna nafasi kwa kila timu ila kilichopo
kwa sasa ni kujianda kwa ajiri ya mechi za marudiano
No comments:
Post a Comment