kikosi cha serengeti boy |
Timu ya taifa ya chini ya umri wa miak 17 maarufu kama serengeti boys imeingia kambini rasmi kujiandaa kwa ajirir ya mchezo wa raundi ya mwisho kabla ya kuelekaea katika michuano ya kuwania kombe la mataifa ya afrika kwa vijana wa chini ya umri wa miak 17.
timu hiyoi ambayo iko chini ya kocha Jakob michelsen imeingia kambini ikwa na idadi ya wachezaji 25 ambapo katika michezo yake ya raundi ya 3 timu hiyo itacheza na mshindi kati ya Congo Brazzaville na Zimbabwe ambapo tayari Congo Brazzaville imefanikiwa kupata ushindi wa ugenini wa mabao 2-1. Mechi ya marudiano itachezwa jijini Brazzaville kati ya Oktoba 26-28 mwaka huu.
baadhi ya wachezaji wa Serengeti Boys wafanya mazoezi ya viungo. |
No comments:
Post a Comment