Radamel Falcao
Mshambuliaji wa kimatifa
Radamel Falcao anayecheza katika
klabu ya Atletico Madrid ameonesha nia
yake ya kutaka kucheza mpira katika ligi kuu ya nchini Uingereza kama alivyofanya mkolombia mwenzake Faustino
Asprilla aliyekuwa anacheza
katika klabu ya new castle united kwenye miaka ya 1996–1998.
Radamel Falcao 26,
aliyeonesha kipaji chake kwa kuifunga klabu ya chalsea kwenye mchezo wa kuwania
Europian super cup amesema kucheza kwake katika ligi ya England kutampa furaha moyon mwake kwani tangu
alipokuwa mdogo amekuwa akifuatilia ligi hiyo
tangu zama za mkolombia mwenzake Asprilla aliyekuwa akicheza new castle
united.
Akiwataja baadhi
ya wachezaji waliokuwa wakimkuna kichwa
kama vile Roy keane,Eric cantona
(Gianfranco ) wote wa kutoka klabu ya Manchester united mchezaji huyo amesema Nimekuwa nikiifatilia
ligi ya England kupitia television tangu nilipokuwa mdogo huku
kivutio kikibwa zaidi kilikuwa kwa Mkolombia mwenzake Faustino
Asprilla.
Ikumbukwe kuwa
mchezaji huyo amekuwa akihusishwa na klabu
mbalimbali za uingereza moja wapo
ni mabingwa wa ulaya klabu ya chalsea ambayo kwa mujibu wataarifa klabu hiyo
imetenga £45 millioni za kumsajiri
mshambuliaji huyo.
|
Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Sunday, October 7, 2012
Falcao: Natumani ipo siku nitaenda kucheza ligi ya uingereza na kuwa miongon mwa wafungaji kwani nimekuwa nikifuatilia tangu nilipokuwa mtoto
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment