![]() |
kocha Roberto Mancini |
kocha wa mabingwa ligi kuu nchin uingereza Roberto Mancini amesema kuwa klabu yake ya Manchester city itaanza kushinda hivi karibuni licha ya kuanza vibaya kwa mchezo wake wa
kwanza walipolazwa goli 3-2 na mabingwa
wa uhisipania klabu ya real Madrid.
Pia kocha huyo amesema kuwa kundi lake ni kundi gumu
linalokutanisha mabingwa wa ligi ya uholanzi klabu ya
Ajax,Borussia Dortmundi pamoja klabu ya
Real madridi.

No comments:
Post a Comment