![]() |
kocha Jose Morinho |
Kocha wa mabingwa wa ligi kuu ya uhisipania Mreno
Jose morinho amesema hana mpango wa kuondoka katika klabu hiyo
mpaka makataba wake utakapoisha
ifikapo mwaka 2016.
Mreno huyo ambaye miezi kadhaa
alipendekeza kuitwa The special one amesema kwa sasa hafikri
kabisa kwan alisain mkataba wa kuwa
anataka kuifundisha klabu hiyo
Ikumbukwe kumekuwa na uvumi kuwa
kocha huyo anataka kurejea nchin uingereza huku tayari klabu kadha
zikionesha niya ya kumtaka moja wapo ni
klabu ya Manchester united ambayo tayari kocha wake amekwisha kutangaza majina
ya makocha watakao mirithi huku moja ya
majina hayo ni Jose Morinho.

No comments:
Post a Comment