Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Sunday, October 7, 2012
Ronaldinho Ang’ara afunga Hat-Trick dhidi ya Figueires katika ligi kuu ya nchini Brazil.
Ronaldo de Assis Moreir
Mchezaji bora wa zamani wa FIFA mara mbili mwaka
2004-2005Mbrazili Ronaldo
de Assis Moreiramaarufu kamaRonaldinhoamefanikwa kufungamagoli matatu( hat-trick)kati yamagoli6-0 klabu yake yaAtletico
Mineiro ilipoilaza klabu ya
Figueireskwenye mchezo wa ligikuu ya nchini humo.
Ronaldinho alijiunga na klabu hiyomwaka huu akitokea klabu yaFlamengoalianza kufunguamvua hiyo ya
magoli katikadk ya12kwa
kupigampirasafi nje kidogo ya kumi
nane uliongia kimyan moja kwa moja.
Goli la pili la Ronaldinho lilifungwa katika
dk 32ya mchezo huo na lile la 3
akifunga kwa njia ya penaiti .Magoli mengine yalifungwa naMchezajiRivermara baada ya kupokea pasi
maridhawa kutokakwa ronadinho huku goli la 5 likifungwa na bernadi katika dk
ya 68kabla yaCarlosCesar kupigilia msumari wa mwishokatik dk ya 82.
Kwa matokeo hayo kumeisadiaklabu yaRonaldinho kufikisha pointina
kuwa nyumaya vinara wa ligi hiyoklabu yaFluminenseyenye pointi62 hukuyeye akishika nafasi ya kumi na sita kwa kufunga magoli nane.
No comments:
Post a Comment