Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo

Thursday, October 4, 2012

Nitaibadilisha Yanga icheze mpira safi: Brandits.

kocha  Brandts akiwa Mazoezini na vijana wake.

Kocha wa mabingwa  wa  kombe  la kagame   klabu ya Yanga   Ernie  Brandts   amesema amefurahi  kwa kufanikiwa  kugawana pointi   katika mchezo wake wa kwanza  dhidi ya  maasimu wao wakubwa klabu y simba .

Brandts amesema  mchezo huo ulikuwa wa kwanza   kwake  kwani zilikuwa zimepita takriban  siku  mbili hivi tangu akabiziwe jukumu la kuifundisha klabu hiyo na kuahidi  kubadilisha  kiufundi klabu hiyo katika siku zijazo.

 

 

 

No comments:

Post a Comment