Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Tuesday, October 16, 2012
Marcelo nje miezi mitatu.
Marcelo viera
Mchezaji wa
mabingwa wa ligi kuu ya nchini uhisipaniapamoja na timu ya taifa ya braziliMarcelo vierada
Silva Júniorhuenda akaa nje ya
uwanja kwa takribanimiezi mitatu
kufuatia kuumiamguuwakatiwa mazoezi katika timu yake ya taifa ya brazili
Chama cha sokacha
nchinibrazili kimethibisha kuumia kwa
mchezaji huyo na kusema kuwa ameumia kifundo cha mguu(ankle) hivyo kutokana na
tatizo hilo huenda Marcelo akanyiwa upasuaji mda si mrefu
Kwa upandewake Marcelo
amesema anaamini atapona na kuahidi kuwa atarejea uwanjani mda si mrefu
kablakwa ajiri ya kuitumikiatimu yake ya taifa ya brazili.
Mchezaji huyo (24 )hucheza nafasi ya beki wa kushoto katika
klabu ya real Madrid kwa sasa atakuwa amempa wakati mgumu kocha mreno jose
morinho kuchagua nani atakayecheza nafasi hiyopindi timu hiyo itakapocheza dhidi ya Celta Vigo jumamosi hii kwani mchezaji ambaye angechukua nafasi hiyo mreno Fabio Coentrao yuko nchini kwao
kuitumikia timu yake ya taifa ya ureno kwa ajiri ya michezo ya kufuzu kuelekea
brazili mwaka 2014
No comments:
Post a Comment