ENDAPO HII
TIMU IKIUNDWA KUWA TIMU MOJA ITAKUWA BONGE LA TIMU.
Wachezaji
bora wa mwezi wa kumi wanaounda kikosi
cha kwanza cha wachezaji
kumi na moja ambao wameonyesha kiwango cha juu kwa kuzisaidia timu zao kupata ushindi katika michezo ya ligi kuu
Tanzania bara mwezi huu wa kumi ni wachezaji hao ni
1.Golikipa
Yaw berko
2.Mabeki
Shomari
kapombe, mbuyu twite,stephano mwasika,saidi choro,
3.Viungo
Mwinyi
kazimoto,Haruna niyonzima,amri kiemba,
4.Washambuliaji
Edward Christopher,Emanul Okwi,
Ukianza
kuangalia kiwango cha mchezaji mmoja mmoja kati ya hawa bila shaka hutokuwa na
wasiwasi hata kidogo kwani wachezaji hawa wameonyesha kiwango cha hali ya
juu katika michezo mbalimabli ya ligi
kuu Tanzania bara tangu kuanze kwa mwezi
huu wa kumi,
Christopher Edward |
Mchezaji
kama Edward Christopher ni mchezaji
mwenye umri mdogo ukilinganisha na wachezaji kama vile kina tegete,Emanuel okwi,said
bahanuzi ambaye amejipatia jina katika michuano ya kagame iliyofanyika mwaka
huu hapa nchini Tanzania.
Pamoja na kuwa
na umri mdogo kocha milovan cirkovic ameamua kumpa nafasi ya kucheza katika
kikosi cha kwanza hii ni kwasababu anajua kuwa Christopher anauwezo mkubwa wa
kumiliki mpira,kufunga,kwa mfano wakati wa
mchezo wa maasimu wa jadi Simba na
Yanga kila mmoja hakutegemea kama christoper angestahimili kasi ya
wakubwa zake,kuipa wakati mgumu ngome ya Yanga.
Hivyo Christpher Edward ni mmja ya washambuliaji
wazuri hapa Tanzania na akitulia,akafanya kazi kwa bidiii huku akiwa na malengo
akilini mwake basi na yeye atafanikiwa kufuata nyao za matanzania mwenzake Mbwana Samatha.
Kwa upande
wa viungo sio siri wachezaji hawa wanafanya kazi.kiasi kwamba unapokuwa
uwanjani alafu timu moja wapo ya wachezaji hawa iko nyuma kwa goli kadhaa
utaona ni jinsi gani wanavyokuwa wanahaha kwa kutafuta mpira,kutengeneza
mazingira ya kufunga na hata kutafuta nafasi ya wao kufunga wao wenyewe.
Mwinyi
kazimoto ambaye waweza sema ndio tegemeo kubwa kwa timu ya simba kiasi kwamba
akiumia mashabiki na hata baadhi ya viongozi hupatwa na wasiwasi mkubwa wa nani atayeziba pengo hilo
Haruna Niyonzima(Fabrigas wa afrika mashariki) hapa
kwa wanayanga huwaelezi kitu chochote kuhusu kiwango cha Haruna ambaye si dhani
timu ya yanga inaweza kumuuza kiurahisi amekuwa na mchano mkubwa sana katika
safu ya kati ya timu ya Yanga.
Mbuyu Twite |
Katika safu
ya ulinzi hapo haina shida kwa kunavijana ambao wanajua wanachokifanya.mchezaji
kama mbuyu twite ambaye alileta utata katika usjiri wa kuichezea timu Yanga
naye pia ameonesha kiwango cha
juu.kwa mfano katika mechi ya maasimu wa
jadi simba na yanga sio siri Twite alionesha kiwango cha juu zaidi,
shomari
kapombe ni mchezaji mwenye uwezo
mkubwa wa kucheza nafasi zaidi ya moja uwanjani. Kwa mfano
katika mchezo wa ligi kati ya Timu ya Simba na Maasimu wa wakubwa Timu ya Yanga
mwanzo mwa mwezi huu shomari
alionesha uhodaro mkubwa wa kuwahimli
washambuliaji wa Yanga kama
vile Saidi Bahanuzi ambaye ni moja ya wachezaji wasumbufu ,wenye nguvu ambao uhitajika umakini katika kuwakaba lakini siku hiyo shomari kapombe alifanya kazi ya ziada.
Kwa upende
wa golini hapo haina shida kwani mghana berko ni moja ya golikipa wazuri katika ligi
kuu Tanzania bara
licha ya kuwa anasumbuliwa na
majeruhi lakini bado anaonesha umahiri
wake