Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Tuesday, November 6, 2012
Ramsey kuukosa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Schalke 04.
Aaron Ramsey
Kiungo wa klabu ya
Arsenal ya nchini uingereza Aaron Ramsey
atakosa mchezo wa ligi ya mabingwabarani ulayapindi klabu yake itakapocheza na klabu yaSchalke 04 ya nchini ujerumanijumanne yawiki kutokana na kuwa majuruhi.
Ikumbukwe katika
mchezo wa ligi kuuya nchini humo
jumamosi ya wiki iliyopita dhidi ya Manchester united na kuambulia kichapo
chagoli 2-1kiungo
huyo Ramsey alitolewa katika kipindi cha
pili na nafasi yake ikachukuliwa na
mchezaji Johan Djourou.
No comments:
Post a Comment