Kocha Arsene Wenger. |
Kocha wa Asernal Aserne Wenger amesema hatofanya haraka kumtumia kiungo wake Muingereza Jack Wilshere ambaye amerejea toka kwenye majeraha yaliyomkabili kwa muda mrefu.
Wenger amesema kurudi kwa kiungo huyo kutaleta mchango mkubwa kwenye klabu ya Asernal na timu ya taifa pia,lakini akasisitiza kuwa Wilshere anahitaji michezo kadhaa ili kujenga mwiliwake kurudi katika hali yake ya kawaida kwa ajili ya kupambana.
Jack Wilshere |
No comments:
Post a Comment