kocha Milovna CirkovicKocha mkuu wa klabu ya simba Milovan Cirkovic amesema kuwa amefurahishwa na kiwango kilichooneshwa na klabu yake ya simba dhidi ya maasimu wao wakubwa klabu ya yanga uliofanyika jumatano ya wiki hii katika uwanja wa taifa jijin Dar es salaam.Kocha huyo amesema kuwa wamecheza vizuri hususna katika kipindi cha kwanza lakina hakufurahishwa na kipindi cha pili kwani wachezaji wake walionekana kujisahau kitu ambacho kiliwapa mwanya wapinzani wao kwa kushambulia zaidi na hatimye kuzawazisha goli hilo kwa njia ya penaiti iliyopigwa na mshambuliaji Saidi Bahanuzi na kuitimisha mchezo huo kwa sare ya goli 1-1. |
Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Thursday, October 4, 2012
Milovani awapongeza vijana wake kwa kazi nzuri walioifanya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment