Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo

Tuesday, October 30, 2012

Micha richards nje kwa wiki sita au nane


Micha Richard

   Beki wa timu ya taifa ya England pamoja na mbaingwa ligi kuu nchini uingereza  klabu ya Manchester  city  Micah Richards atakuwa nje  ya uwanja kwa takribani   wiki sita  au nane  kutokana  na  kufanyiwa  upasuaji wa goti  lake  la kulia  mara baada ya kuamia katika  mchezo wa ligi dhidi ya  klabu ya Swansea  city jumamosi ya wiki iliyopita

 Tangu kuanze  kwa ligi kuu ya nchini uingereza  Richards  amefakiwa  kucheza mechi nne za ligi hiyo hii ni kutokana na kusumbuliwa na majeruhi ya goti.hivyo klabu ya Manchester  city   imefiksha majeruhi  3  wanaocheza  safu hiyo ya ulinzi,wachezaji hao ni Maicon pamoja na Pablo  zabaleta.

 

No comments:

Post a Comment