Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo

Friday, September 28, 2012

Jose morinho amtetea John terry kuwa sio mbaguzi wa rangi


Jose Mourinho - Real Madrid
kocha Jose morinho
Kocha wa zaman wa mabingwa  wa ligi kuu ya uingereza  klabu ya chalsea Jose morinho ambaye kwa sasa anaifundisha klabu ya real Madrid  amesisitiza kuwa John terry si mbaguzi wa rangi
Kauli hiyo ya Jose morinho imekuja kufutia mchezaji huyo kupewa adhabu ya kutozwa paundi 220,000 na kufungiwa mechi nne kwa kosa la ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezi Anton ferdinandi wa QPR
EPL - QPR vs Chelsea,John Terry &  Anton Ferdinand
John terry na Anton Ferdinand
Kocha huyo amesema  kuwa kwa kipindi chote alichotumikia klabu hiyo hakuwai   kuona kitendo chochote cha ubaguzi alichokifanya John terry dhidi ya wachezaji wenzake


No comments:

Post a Comment