Karibu katika dira ya michezo kwa habari motomoto za michezo ya ndani na nje ya nchi
Karibu katika dira ya michezo
Thursday, November 1, 2012
Chalsea hao robo fainali uso kwa uso na Leeds united.
Robofainaliya kombe la capital one mabingwa wa
ulayaklabu ya chalsea uso kwa uso na
maasimu wa wakubwa wa zamani klabu ya leeds wakati washika bunduki wao watakuwa
ugeninikucheza na klabu yaBradford
Klabu ya Swansea cityitaikaribishamiddlebrough,Astonvillawao watakuwa ugenini kuchezana
klabu ya Norwichcity
No comments:
Post a Comment